BESPOKE DESGN
Inafua kilo 12
Zina Warranty 20 years on motor only and 2 years on washer
Features:
1. Digital inverter motor - Hupunguza kiwango kikubwa cha matumizi ya umeme na kufanya kazi kwa hali ya ukimya/silence
2. Diamond drum- inasaidia kutochakaza nguo haraka, wala nguo kufumuka (fabric caring)
3. Vibration reduction technology- Inazuia mtetemo-vibration hivyo hufanya kufanya kazi kwa utulivu wa hali ya juu
4. Ecobubble technology- inafua kwa kutumia povu jingi huku ikienda kiuchumi zaidi kwa kutumia maji kidogo, sabuni kidogo na umeme kidogo.
5. Ceramic Heater - ina heater ambayo inakuwezesha kufua kwa kutumia maji ya moto basi hvyo pia heater ni imara sana haioti kutu
No review given yet!